Swahili Love Status

love

LOVE IS LOVE MY FRIEND but Love is verry complicated in this world tunaweza kupendana kati yangu na mschana arakini ukakuta kama akunda mtu anafurahiya mapenzi yetu ndio mnaa kira mtu akuwe ana acha mngu ataware upendo wake na huyo mwana mke kwa ju bakijitawara nanaweza Angamia siyo kitu laisi bwana ni kwenda pole pole man.

Create Image


Leave a comment
Swahili Love Status

god

Mungu ndie mgawa riziki ko usijisumbue kwenda kwa waganga kwaaajir ya kuziba riziki yangu unajisumbua nibora ukakaa ukatathimin kwamba mbona mwenzangu kafanikiwa ko njoooo nikupe siri ya mafanikio sio kwenda kwa waganga

Create Image


Leave a comment
Swahili Love Status

Mjasiliamali

Nampenda bwana yesu Sikh zote za maisha yangu kwani yeye ndiye mwenye kunipendeza na hakuna mwingine zaidi yake katika maisha yangu. Ahsante yesu kwa kunijalia afya njema ,kunikinga na na maradhi kuniepusha dhoruba za dunia hii na uzidi kuendelea kuniepusha tena na tena mpaka hapo utakapo niita baba yetu .ahsante baba kwa ridhiki unayonijalia kila siku, bariki mazao yangu ya shamba pia bariki biashara yangu iwe na Wateja wengi na I we endelevu,naomba ktk jina la yesu amina

Create Image