Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.
Related Posts
Dame : konda hii belt haiingii Konda : paka mate iteleze 🤣🤣🤣
Ile day utaenda chemist 💊kubuy Mara moja upate nni mzungu cjui utamwambia aje🚮😭😭
Tangu nianze kula miraa 2017 hadi wa leo sijawahi lala,, inasemekana uwa nakula kama nmelala.
Kama anaringa sana usishinde ukijisumbua tuone kama atajikula😜😛😛😜
Unataka nizae mtoto afanane na ww baba ake kwan mm nna kifuko cha uzazi ama mashine ya photocopy 😜😜
Ma sister, imagine walking in heaven and all the kids you aborted be like: “Jesu nangu lo”
Him: hae Her:moglobin Him: wacha hizo ww Her:zipi….unasemaje Him:unaitwa? Her:mzimu…uko nalaziada Him:Thai…Dina 😂😂😂😅
Kujulikana na mother in-law Si kuolewa,, ulizeni ex wangu😂😂😂😂
