Sort By: Default (Newest First) |Comments
Swahlili Jokes

kabatini.

Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.

24


Leave a comment
Swahlili Jokes

chakula unaitwa

Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register

2


Leave a comment
Swahlili Jokes

mboga

Umezoea Kukula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga

3


Leave a comment
Swahlili Jokes

mama yake ayupo,

Ety demu kwakwmbia uwende kwao kwakuwa mama yake ayupo,
kumbe nao ni ushezi

3


Leave a comment
Swahlili Jokes

Speaker tu

Kumbe Tumbo ndo inanyamba Matako ni Speaker tu 😂😂

4


Leave a comment
Swahlili Jokes

ugonjwa

Ukimkuta dada amevaa miwani anakuwa na dharau sana anasahau kuwa kilichomfanya avae iyo miwani ni ugonjwa
😀😀😀🏃‍♂️🏃‍♂️🏃‍♂️
Leave a comment
Swahlili Jokes

nyuma

Ata uwe na haraka kiac gani lazima matako uyaache nyuma

37


Leave a comment