maisha ni safari ndefu yana panda na kushuka binaadamu tuwe makini
Related Posts
Karibuni nyumbani yasubuhi yote milele.Sasa nasoma the only disability in life is a bad attitude,Meskiya? Also true happiness lies,first of Continue Reading..
tafadhali shiriki utani wako na sisi katika lugha ya swahili
Maisha ni mlima kupanda na kushuka
Kama ukijua kua MTU ni watu maana MTU peke hawezi akaishi kamwe
Usitake Leo iwe historia Ila acha historia Itakapofikia kuwa historia
Furaha usoni, maumivu noyoni.
Mwanamke mpumbavu,hubomoa Nyumba yake mweye,mwerevu hujenga
mimi ni mimi tu
QATAR
16319
Usililie bahati ya mwenziyo,Mungu atakubarikia yako,usife kuchoka.
Nikipata sio Raha kwa wote, lakini nikikosa nifuraha kwao wote, na watanikujia na ahadi sa mzaada za urongo.
Ukiomba Mola zaada na kufanikiwa pia unakuwa wewe ni luminati.
Huwezi kuwa mwema na kuridhisha wote hata ukiishi musikitini milele