maisha ni safari ndefu yana panda na kushuka binaadamu tuwe makini
Related Posts
naangalia maisha yangu siangalii mtu but nawapenda wote
tafadhali shiriki utani wako na sisi katika lugha ya swahili
akil ni nyele kila mtu ana zake
Furaha usoni, maumivu noyoni.
Karibuni nyumbani yasubuhi yote milele.Sasa nasoma the only disability in life is a bad attitude,Meskiya? Also true happiness lies,first of Continue Reading..
Kama ukijua kua MTU ni watu maana MTU peke hawezi akaishi kamwe
At I. Nyanyayako amezeeka had I akipiga miayo inalia kama mlango.
Maisha ni safari ndefu mnoo Ainaga kipimo ata siku moja Tunachopaswa kufanya ni Kutokukata tamaa ktk kila jambo.
