Madem wa siku izi wamekuwa kaa karao.mnakutana tao then next week uko ndani🤣😂🤣if you know you know
Imagine umelala afternoon bcoz the previous night ulikuwa kesha. mara unasika knock kwa mlango, ukienda kufungua unagongwa kidole ya mwisho Continue Reading..
Na venye mm n bachelor 🤔nikifa xai life history ang c itakuwa fupi;” Marehemu alizaliwa akazurura akafa”😂😂
Na hats uwe unapenda vipi Kumenya viungo vya mboga Lakini huwezi kumenya pilipili au bamia”
Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia
Tangu nipikie wageni chai kwa sufuria ya omena , madhee hajawai kubali niingie jikoni
.