Tusikizane vizuri,,, haikua kupenda kwangu kuishi Kwa nyumba ya mabati, ukikuja kwangu sio lazima ubishe mabati,🙄🙄🙄🙄😏😏😏 bisha Tu mlango ntakuskia nanii
Related Posts
Katika maisha yako kuna kupuliza iwake na kupuliza ipoe… Lkn wengi wetu wanapokuwa wakipuliza ipoe wanajikuta wameiwasha….
Unapoondoka duka bila kununua chochote na unajiambia “tenda kawaida, huna hatia”
Today a preacher in a public bus started preaching… “Leo nataka kuwasomea barua ya Paulo kwa Warumi” A drunk man Continue Reading..
Eti nikifa nikazikwe singida👌👌 uliacha nauli kwani😆😂🤣🤣😂😂🤣🤣
Wakikuyu ni wasafi hati wawesi chafuwa meza kwa clap
Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia
Ati wakaba wana peda maji adi wakiabiwa i love you wanasema water suprise
Kumbe Tumbo ndo inanyamba Matako ni Speaker tu 😂😂