Kujulikana na mother in-law
Si kuolewa,, ulizeni ex wanguππππ
Related Posts
Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.
Kumbe Tumbo ndo inanyamba Matako ni Speaker tu ππ
Lakini si mtu akibuy laini ya Airtel anafaa kupewa na jacket ya kuprevent baridi wakati anatafuta network
Ukiona dem wako amekuja Kwako alaf sm yake kaweka flight mode Ujue uyo mwanamke Anakupenda Sana ataki Usumbufu Anapokuwa Na Continue Reading..
Ukimkuta dada amevaa miwani anakuwa na dharau sana anasahau kuwa kilichomfanya avae iyo miwani ni ugonjwa ππππββοΈπββοΈπββοΈ
Day flani tukiwa chuo beste yangu amekam amenipata nje ya dinning hall nmetulia alafu akanisho hivi. Yeye: niaje bro c Continue Reading..
Juz kadem nilikatext kakaniuliza nimepata wapi no yake nikakaambia nimepew offer ya namba yake na safcom
Mato niki refu kuliko mutura ya soko mjinga itabidi apuguzwe na rungu ya masaai