Sub Categories

Hakika umefanyika bubujiko la nafsi yangu na kunifanya kuwa wakipekee kwako also all in all when i’m feel in love i see you my love

Loading views...



Zamani wasichana walipika kama mama zao
lakini saivi wanakunywa kama baba zao

Loading views...

Tumbili zikiwa tatu bado ni tumbili au ni tutatu ?
Hii kitu inanikula kichwa sana

Loading views...

tafadhali shiriki utani wako na sisi katika lugha ya swahili

Loading views...


To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje 🤣🤣
Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Kama ngombe mwaka mzima😭

Loading views...

Maisha ni safari ndefu mnoo
Ainaga kipimo ata siku moja
Tunachopaswa kufanya ni
Kutokukata tamaa ktk kila jambo.

Loading views...


January imefika wale shamba boy mulikwa ushago mwende Nairobi kufiyeka mboma zatu huko Una enjoy girl friend wako beb Niko busy kwa Office ww

Loading views...


Wakikuyu ni wasafi hati wawesi chafuwa meza kwa clap

Loading views...


Et ooo babe nkupenda pekeako ukome mi sijafundishwa ivo kwenye maish kumpenda mtu 1 sina tabia izo za jini😂😂😂

Loading views...


Kuna dem ameniuliza WHERE DID WE FIRST MEET??
Sijui nimkumbushe ile day chali yake aliniomba keja juu mm nilikuwa yule msee nilikuwa nafua hapo nje

Loading views...

penda anae kupenda asiye kupenda achana nae

Loading views...


Huku afrika ukitaka breakfast in bed,pls kalale jikoni🙃🙃 by Carlos ochieng agunda

Loading views...

Mungu ndie mgawa riziki ko usijisumbue kwenda kwa waganga kwaaajir ya kuziba riziki yangu unajisumbua nibora ukakaa ukatathimin kwamba mbona mwenzangu kafanikiwa ko njoooo nikupe siri ya mafanikio sio kwenda kwa waganga

Loading views...