Akuna kitu tamu kama kupendwa na wazazi wako
Loading views...
Akuna kitu tamu kama kupendwa na wazazi wako
Loading views...
To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje 🤣🤣
Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Kama ngombe mwaka mzima😭
Loading views...
Kuna mtu huku ndani hananga kazi.. Yeye hushinda kuitisha pics za watu then ako zile za… Wow, nice, cute, sexy. . 😂
Loading views...
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!
Loading views...
Unaniita na nambari binafsi na nitazamia mimi
kuzungumza kwanza?
Nadhani tutaweza kupumzika mpaka utakapoendelea
Loading views...
Hahaha wamathe wa kisumu hucompit kuongea
English but hawatakagi kwambiwa hawajui
Loading views...
Today a preacher in a public bus started preaching… “Leo nataka kuwasomea barua ya Paulo kwa Warumi”
A drunk man at the back asked him… “Kwa nini utusomee na sisi sio Warumi… Na kwanza nani amekwambia ufungue barua ya wenyewe???”
Loading views...
Pain ya go nyesa ke mjolo kwa yeno o na le gate ya maotwana
Loading views...
Jifunze kuitambua dhahabu hata Kama ipo kwenye tope
Loading views...
Nilidhani usafi ni taulo kumbe sivyo hivyo
Loading views...
*Siyo Lazima Mpenzi wako Akija Mfanye Mapenzi…Kamtembeze Ata Makaburini Umwonyeshe Utakapo Mzika Siku Atacheza Na Hisia Zako
Loading views...
Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi
Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!
Panya 2 Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwa
kwa mtego mara 5 nasijawahi dakwa
RAT 3 Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimba niliyo nayo ni ya paka !!!
.
.Panya WA 1 na 2 wakazimia😆😆😆😆😆
Panya wa 3 huwa hapendi ujinga kabisa
Loading views...
KARUMAINDO BAR NOTCE in Nyeri.
1. Ukifanya ornder, unaturia, usichide umekubucha kubucha waiter, yeye ni mutu msima anakubuka.
2. Ukirewo urewe peke yako, usianse kuiba nyibo sa Kigooco huku. Ukitaka kuiba eda clusade.
3. Huku hakuna dancing froor. Kwa hifo usika dance huku, hii ni bar, sio carnivorous(Carnivore)
4. Urinal siko. Kukonjoa ni sawa. Ukitaka hanja kumbwa, marisa fobe yako uede ukakumie kwako. Huku hakuna shoo. Tunauzaga fobe si Ugari.
5. Kufugia waiter jisho uwashe. Unamfugia jisho kwani umeskia ni daktali wa masho.
6. Ukinunuria waiter fobe, sio kumaanicha ati utaeda na yeye kwako. Ako hapa kuusa fobe, sio kuusa mwiri, mununurie na uthie ukiumaga
7. Usikamwaga mwage fobe kwa mesa,, tumekataa! Urinunua ukunywe ama umwage, tumia kogocity!
8. Huku hakuna Maraya. Ukitaka maraya kunja na wako, na akuwe maraya anaereweka tafathari sio chula inakaa mutura bishi
9. Wakati Mike Lua ama Salim Junia anaiba, tafathari uskakaibaniche na yeye. NYAMASA tulii,, watu warikunja kusikisa Lua, sio wewe. Ukitaka kuiba, tuabie tukutafutie Saturnday yako.
10. Kuchika chika waiter matako ni hatia! Chika matako yako, huku si bedloom.
11. Maneno ya CORND na JUBIREE perekeni Fesbuk. Sio hapa!!!Laila sio Waiter hapa
12. Kuwekewo mchere kwa fobe si kitu kumbwa, ukiwekew, unaitoa na unaederea na Fobe yako kama kawaida.wegine wamechawai wekewo mahidi na wanasurfife tu
13. HAKUNA kurara kwa Mesa! Mesa sio kitada. Kama umerewo, eda ukarare kwako.
14. Ukiibiwo pesa eda ukastaki kwa borithi, usikakunje kusubua Manager.
15. Tip ni rasma! Kama besa yako haitochi ya tip, rasima birr irete chinda ama ununue fobe take away ukakunywie kwako.
16. Huku hakuna bouncer! Rakini ukireta nyokonyoko tutakunyorocha kama Mukola.
17. Usikatapike huku. Hii ni Bar, sio Crinic ya watoto. Unatapika kwani uko na Miba??chidwo!!
By MANANGEMEN
Loading views...
Wale mlikuwa mnasema 2020 is your financial year ebu mkujie mwaka yenu na sitafadhali 🤣🤣
Loading views...
karibu kenya place unabuy maziwa imelala 35 while fresh 20 bob
Loading views...
Fuck maze, ile time umejipata maudenki zimekukaza then kufika kwa choo unapata kuna ninja ili kunia juu bt kulingana navile umekazwa inabidi uingine,,, then ukiwa ndani kimsee kinakam afu kinaamua kungoja utoke… Coz hauwezi taka aone hio shonde asikushuku ww unamua kutumia gazeti yako kupanguza hio shonde we unabaki hivyo
Loading views...