Sub Categories

Kama anaringa sana usishinde ukijisumbua tuone kama atajikula😜😛😛😜

Loading views...



Kwako Kuna bed switch ama unazimanga stima then unatembea hadi kwa bed Kama kipofu

Loading views...

Hahaha wamathe wa kisumu hucompit kuongea
English but hawatakagi kwambiwa hawajui

Loading views...


Kuishi nyumbani na mwanaume asiyekuwa na pesa ni sawa na kuishi na feniture ndani ya nyumba

Loading views...

Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register

Loading views...


I hope my book of life ingeandikwa na kalamu ya mate kuna ka place nafaa kuvuta

Loading views...


Kupata picha kali kali za madada wa kike ambao watanifurahixha nataka kujiunga na group

Loading views...

Katika maisha yako kuna kupuliza iwake na kupuliza ipoe…
Lkn wengi wetu wanapokuwa wakipuliza ipoe wanajikuta wameiwasha….

Loading views...

Wakikuyu ni wasafi hati wawesi chafuwa meza kwa clap

Loading views...


Corona ilifanya poa ku kam 2020.
Ingekam kitu 2006..
Tungekaa tu indoors na nokia 1110..tukicheza game ya manyoka..hakuna selfles ata

Loading views...


Eti ooh nataka mwanaume wa kunilinda na ukitongozwa na mlinzi unakataa!?

Loading views...


*Girl;* babe leo hakuna magari nalala kwa beshte yangu nikam kesho🙂

*boy;* poa hun, hata monica beshte yako ako hapa akuna gari anadoz akungoje ukam kesho🤓
*Girl;* 😳bby kuna gari nimeona hapa ya takataka acha nione ka itanibeba

😆😆😅😅😂😂🤣🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Loading views...

MIMI KAMA SIMU YAKO
Nataka uniheshimu.Sipendi ukiniweka kila saa kwa vibrate mode,alafu usiniweke kwa mfuko wako wa nyuma…ukinyamba wataka nifeel aje? Alafu ukiamka asubuhi plz brush mdomo kabla unitumie…wewe huwaga unanuka mdomo ni vile sitaki kukuambia! Then kuna ile siku uliniweka credit bamba 5 hio siku uliniudhi! Huoni ni aibu hio lakini nikanyamaza tu..Saa zingine we huenda na mimi chooni! Hio ni heshima kweli?

Loading views...