Nakumbuka Chemistry paper 1 kulikuwa na hii swali “State 3 characteristics of bromine” Sasa mimi na ujinga yangu nikaandika characteristics za Bro wa mine😁
Related Posts
Et ooo babe nkupenda pekeako ukome mi sijafundishwa ivo kwenye maish kumpenda mtu 1 sina tabia izo za jini😂😂😂
Ukiona dem wako amekuja Kwako alaf sm yake kaweka flight mode Ujue uyo mwanamke Anakupenda Sana ataki Usumbufu Anapokuwa Na Continue Reading..
……… ….. Maslay queen…..wanaoganga qweli juu hawapendi kugusa maji…..
Niliambiwa na mwalimu wangu wa kiswahili ya kwamba ukiona mtu na makalio kubwa ujue ni ujinga amebeba hapo soo madem Continue Reading..
Ati dem wako anaforce issue kaa msee wa curfew😂😂😂
Kumbe Tumbo ndo inanyamba Matako ni Speaker tu 😂😂
Juz kadem nilikatext kakaniuliza nimepata wapi no yake nikakaambia nimepew offer ya namba yake na safcom
Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register
