Mwanamke mpumbavu,hubomoa Nyumba yake mweye,mwerevu hujenga
Ukitaka ukwel ulizia kiundan zaidi love is poison true or false
Hahaha wamathe wa kisumu hucompit kuongea English but hawatakagi kwambiwa hawajui
Ucnione mdogo ukaniramba kisongo mtakubwagia zongo ukushinde muhogo
Nilidhani usafi ni taulo kumbe sivyo hivyo
At I. Nyanyayako amezeeka had I akipiga miayo inalia kama mlango.
akil ni nyele kila mtu ana zake
Kama ukijua kua MTU ni watu maana MTU peke hawezi akaishi kamwe
Maisha ni mlima kupanda na kushuka
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *