Sub Categories

Nakumbuka Chemistry paper 1 kulikuwa na hii swali “State 3 characteristics of bromine” Sasa mimi na ujinga yangu nikaandika characteristics za Bro wa mine😁

Loading views...



Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂

Loading views...


Sio sigara tu hata ukiwa na mwanamke msumbufu ni hatari kwa afya yako

Loading views...


Ww sherekea kukaa nyumbani na next yr uko form 4 seoson 2 🤣🤣🤣🤣

Loading views...


Kama huna pesa punguza kitambi we are tired of respecting wrong people

Loading views...

Eti nikifa nikazikwe singida👌👌 uliacha nauli kwani😆😂🤣🤣😂😂🤣🤣

Loading views...


*Kuna cousin yangu amepata 50 out of 500. KCPE. Tunangojea alale tuhame.* Sa hii tuko maombi kwao.
Huyu amaweka family kwa kizungumkuti.

Loading views...


Lakini si mtu akibuy laini ya Airtel anafaa kupewa na jacket ya kuprevent baridi wakati anatafuta network

Loading views...

Endelea kiwaita sleepover ile siku dem atakufia kwako sijui utafanya aje!

Loading views...


Day flani tukiwa chuo beste yangu amekam amenipata nje ya dinning hall nmetulia alafu akanisho hivi.
Yeye: niaje bro c unitolee form
Mimi:Ingia halo ndani ya dinning hall kuna form nyingi had zmepanguzwa utoe moja

Loading views...

Maisha ni safari ndefu mnoo
Ainaga kipimo ata siku moja
Tunachopaswa kufanya ni
Kutokukata tamaa ktk kila jambo.

Loading views...