Sub Categories

*🤣🤣🤣 uzuri wa mtaro🥥 ni eti ukimwaga💦 ndani kwa makosa na anze kulia unaweza ingiza kikombe☕ na uchote….🤣🤣🤣

Loading views...



*Girl;* babe leo hakuna magari nalala kwa beshte yangu nikam kesho🙂

*boy;* poa hun, hata monica beshte yako ako hapa akuna gari anadoz akungoje ukam kesho🤓
*Girl;* 😳bby kuna gari nimeona hapa ya takataka acha nione ka itanibeba

😆😆😅😅😂😂🤣🤣🤣🤣🙌🏽🙌🏽🙌🏽🙌🏽

Loading views...

Wale mnaopima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu waga mnataka nini????

Loading views...

Mapenzi yanaweza kukupa stress hadi mama ako akikuuliza what is wrong. …… unaeza mjibu Mama we bado mdogo huezi elewa

Loading views...


Ushahi argue na mutu alafu anakushow
Sasa unataka kulia 😂😂😂😂😂😥💔
Walai hio kitu hainaga cameback

Loading views...

To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje 🤣🤣
Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Kama ngombe mwaka mzima😭

Loading views...


Kati ya hizi mbili ni gani ya aibu:

1.Kupatwa
Ukijipima viatu za
mgeni.

2.mgeni akipatwa
akiongezea maji ya
ugali. 😂😂

Loading views...


Demu:babe leo bata wap??
Boy:kwani wewe unataka tukale wap???
Demu:nataka tukale kwa hotel kubwa
Boy:acha ufala leo bata kwani uja waona kwenye banda lao wanakula 😂😂😂😂😂

Loading views...

Tumbili zikiwa tatu bado ni tumbili au ni tutatu ?
Hii kitu inanikula kichwa sana

Loading views...


tafadhali shiriki utani wako na sisi katika lugha ya swahili

Loading views...


Msichana mmoja alimpeleka mchumba wake kwao kumtambulisha kwa wazazi wake.

Alipofika tu baba yake akagundua dosari maana mvulana alikuwa mweusi tii ana matege makali na makengeza ya maana!!

Jamaa alipo ona sura ya baba mkwe wake imebadilika ikabidi atabasamu kiasi.
Lahaula! Alikuwa na mapengo hana meno yote ya mbele!

Baba akaamua amuite binti yake:

Baba:”Mwanangu hebu twende nje tuongee.”

Binti:”Baba sema hapahapa tu mchumba wangu ni kiziwi.”
.
.
Baba mtu akazimia!!

Loading views...


Karibuni nyumbani yasubuhi yote milele.Sasa nasoma the only disability in life is a bad attitude,Meskiya? Also true happiness lies,first of all in health.Sursunday

Loading views...

Titi taaa tete kumilife is short so smile
whole still hve a chance to do so

Loading views...

Nampenda bwana yesu Sikh zote za maisha yangu kwani yeye ndiye mwenye kunipendeza na hakuna mwingine zaidi yake katika maisha yangu. Ahsante yesu kwa kunijalia afya njema ,kunikinga na na maradhi kuniepusha dhoruba za dunia hii na uzidi kuendelea kuniepusha tena na tena mpaka hapo utakapo niita baba yetu .ahsante baba kwa ridhiki unayonijalia kila siku, bariki mazao yangu ya shamba pia bariki biashara yangu iwe na Wateja wengi na I we endelevu,naomba ktk jina la yesu amina

Loading views...