Sub Categories

Corona ilifanya poa ku kam 2020.
Ingekam kitu 2006..
Tungekaa tu indoors na nokia 1110..tukicheza game ya manyoka..hakuna selfles ata

Loading views...



Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia

Loading views...

In every man’s life kunakuaga na dem kila mtu huassume mshakulana na hamjawai 😌
Alafu kunakuaga na dem mshakulana lakini huezi ambia watu mshaikulana 😭
Alafu kuna dem ukiambia watu mshaikulana hawaamini 🌝
Alafu kuna dem mnakulananga lakini nyinyi wote hamuezi ambia watu coz mtastopisha reggae. 😂😂😂😂😂

Loading views...


Unataka nizae mtoto afanane na ww baba ake kwan mm nna kifuko cha uzazi ama mashine ya photocopy 😜😜

Loading views...


Endelea kiwaita sleepover ile siku dem atakufia kwako sijui utafanya aje!

Loading views...


Niliambia caro nataka mtoto akanijibu uterus haiendi mahali nitafute pesa kwanza

Loading views...

Tajiri Au Masikini Wote Tuna Masaa 24⏲️Kila Siku..

Chagua Vizuri Jinsi Ya Kutumia Muda Wako…✍🏼

Loading views...

First they ignore you, then they laugh at you, then they fight you, then you win.- Mahatma Gandhi @wazimu mkuu

Loading views...


Msichana mrembo lakini akinyamba
Maiti Inageuza kichwa🤣🤣🤣🤣🤣

Loading views...


chuki haiwezi kutoka chuki. Ni upendo pekee wenye uwezo huo

Loading views...


Huku afrika ukitaka breakfast in bed,pls kalale jikoni🙃🙃 by Carlos ochieng agunda

Loading views...

Madem wa siku izi wamekuwa kaa karao.mnakutana tao then next week uko ndani🤣😂🤣if you know you know

Loading views...

Jee ushawai panda ndege ama unangoja siku ya kwenda mbinguni????

Loading views...