Imagine umelala afternoon bcoz the previous night ulikuwa kesha. mara unasika knock kwa mlango, ukienda kufungua unagongwa kidole ya mwisho ya mguu na kitanda, kuturn kidogo unaangukia ndoo za maji yanamwangika, unatereza kwa hayo maji unaangukia tv, na wire ya stima inakupinga shock kwa mgongo. unasimama na uchovu, maumivu, hasira na hasara. kufika kwa mlango kufungua unapatana na jamaa kwa mlango anasema, ” Habari yako? naregister lines za Orange!” utafanya? 😂😂
Related Posts
Ile day utaenda chemist 💊kubuy Mara moja upate nni mzungu cjui utamwambia aje🚮😭😭
Form fours are like posting *”stress is over”*😂tuwaambie ukweli ama tuwaache wapumzike😂
Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika
phone yaka e wetse kara pitsa ya motepa wao fisa… i’m worried about you guys , a LA fisa ke Continue Reading..
asiye funzwa na mamaye babake ni mwalimu
em wangu aliniambia ka ninataka Mapenzi nitumia number Bluutooth
Madem wengi kasi ya n ya kufilter picha wapost kwa status na hawakumbuki lika yao inaelekeakumalisha ulezi
chuki haiwezi kutoka chuki. Ni upendo pekee wenye uwezo huo
