Him: hae
Her:moglobin
Him: wacha hizo ww
Her:zipi….unasemaje
Him:unaitwa?
Her:mzimu…uko nalaziada
Him:Thai…Dina
😂😂😂😅

Loading views...



nimekumbuka mitochondrion nikasahau pin ya mpesa😲🤣😋😋😋🤔😁

Loading views...


Niliambiwa na mwalimu wangu wa kiswahili ya kwamba ukiona mtu na makalio kubwa ujue ni ujinga amebeba hapo soo madem tuwache maringo ukiwa umebeba haaga ,,,,,”hiyo ni ujinga umebeba”.

Loading views...

Kwa nini ulikubali myanyako aolewe na babu yako .naunajua wote ni wazee.umestakia kuruhusu hawa watu wawili hapa kituo cha.jongo love. Kesho kabla ya kikwara wa kwanza kupiga mswaki.kama hutakuja utatembelewa na baby wa ma Baby. Olewako sina huruma na hii kesi.Hello statu up you nau don’t giverup.

Loading views...


My future wife si uje ama nifungue butchery na hizi ngombe za dowry

Loading views...


Unapata Dem amebeba food take away ujue amechukua ugali tatu ya 30bob na mboga ya 10bob🤣🤣🤣

Loading views...

To our sisters leo want to ask you this question hivi…..

“what would you do if you start arguing with your man and he starts crying”

Sisi tuko hapa to see the comments and kuchangia where we have too😂😂😂

Loading views...


Opening of schools before bars shows government respects children more than the elderly🙉 wakati wa kura watafute hao watoto wawapigie🤪 hatupendi ujinga

Loading views...


Juz kadem nilikatext kakaniuliza nimepata wapi no yake nikakaambia nimepew offer ya namba yake na safcom

Loading views...


Imagine tufike mbinguni halafu tupate kukula cuzo haikua Dhabi!!

Loading views...

When she’s hot as fuck but flopo eore a nkga legano 😒😒 you’ll end up saying things like “etlwa colgate ye enale swikiri ye nchi bjang”.. before you kiss her

Loading views...

Maisha ni siri
Nan wakuifichua??? 🤔🤔🤔🤔

Loading views...