Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia
Loading views...
Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia
Loading views...
Uzuri wa kunyonga monkey unaweza adjust iwe tight ama mtaro!!
Vile unataka
Loading views...
When she’s hot as fuck but flopo eore a nkga legano you’ll end up saying things like “etlwa colgate ye enale swikiri ye nchi bjang”.. before you kiss her
Loading views...
Wanaume wa Siku hizi ni vigumu kuwatambua na makalio za wanawake za kila rangi now dayz ni zilipendwa
Loading views...
Unakumbuka pale nursery ukibeba book moja na one bob kwa pocket,,history repeats itself campus life
Loading views...
Ile time ume nyandua fame na ngori ya kidogii afu utabike after a few minutes unaskiaga fame aki shuta na nyap
Loading views...
Tumbili zikiwa tatu bado ni tumbili au ni tutatu ?
Hii kitu inanikula kichwa sana
Loading views...
Tangu nipikie wageni chai kwa sufuria ya omena , madhee hajawai kubali niingie jikoni
Loading views...
Hii Nairobi kama hujaact setbooks
Haujajaribu online jobs za global alliance (kwanza hii)
Haujaenda mjengo
Haujafanya promotion ya nodules ama simu
Halafu kuna ile walk ya kiadvatise pizza na kuku
My friend hakuna kitu utaniambia kuhusu kuhustle
Loading views...
Nakumbuka Chemistry paper 1 kulikuwa na hii swali “State 3 characteristics of bromine” Sasa mimi na ujinga yangu nikaandika characteristics za Bro wa mine
Loading views...
Ma sister, imagine walking in heaven and all the kids you aborted be like:
“Jesu nangu lo”
Loading views...
Hata uwe na haraka kiasi gani…,lazima matako itabaki nyuma
Loading views...
Ukiona dem wako amekuja Kwako alaf sm yake kaweka flight mode
Ujue uyo mwanamke Anakupenda Sana ataki Usumbufu Anapokuwa Na wew
Loading views...
Mnakumbuka lucky dube akiimba there will be no schools anymore only prison prison mkadhani ni bangi
Loading views...
Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi
Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!
Panya 2 Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwa
kwa mtego mara 5 nasijawahi dakwa
RAT 3 Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimba niliyo nayo ni ya paka !!!
.
.Panya WA 1 na 2 wakazimia
Panya wa 3 huwa hapendi ujinga kabisa
Loading views...
Katika maisha yako kuna kupuliza iwake na kupuliza ipoe…
Lkn wengi wetu wanapokuwa wakipuliza ipoe wanajikuta wameiwasha….
Loading views...