Wakikuyu ni wasafi hati wawesi chafuwa meza kwa clap
Unakumbuka ukianza insha na…. Katika Kijiji kimoja paliondokea mtu mmoja masikini hoehae… Ona sahii we ndio huyo masikini😂😂😂 *What goes Continue Reading..
Wale mlikuwa mnasema 2020 is your financial year ebu mkujie mwaka yenu na sitafadhali 🤣🤣
Wakati wowote mkia hautikisi ngo, mbe,ng,ombe ndo hutikisa mkia
Unaniita na nambari binafsi na nitazamia mimi kuzungumza kwanza? Nadhani tutaweza kupumzika mpaka utakapoendelea
KARUMAINDO BAR NOTCE in Nyeri. 1. Ukifanya ornder, unaturia, usichide umekubucha kubucha waiter, yeye ni mutu msima anakubuka. 2. Ukirewo Continue Reading..
Nilieka face unlock kwa simu alafu kujaribu na sura ya ngombe shags ikaitikia. Ebunidoscribe😂😂😁