Sub Categories

Ukiona dem wako amekuja Kwako alaf sm yake kaweka flight mode

Ujue uyo mwanamke Anakupenda Sana ataki Usumbufu Anapokuwa Na wew



chuki haiwezi kutoka chuki. Ni upendo pekee wenye uwezo huo


To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje 🤣🤣
Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Kama ngombe mwaka mzima😭


Wale mlikuwa mnasema 2020 is your financial year ebu mkujie mwaka yenu na sitafadhali 🤣🤣


Aki wallahi lazima 2021 time watu wacheck before tuingie sisi ,Ile dissapointment nimepata 2020 siwezi dhubutu kuingia nayo 2021😏😏😏

Et ooo babe nkupenda pekeako ukome mi sijafundishwa ivo kwenye maish kumpenda mtu 1 sina tabia izo za jini😂😂😂


Tangu nipikie wageni chai kwa sufuria ya omena , madhee hajawai kubali niingie jikoni


Ati dem wako anaforce issue kaa msee wa curfew😂😂😂


Unataka nizae mtoto afanane na ww baba ake kwan mm nna kifuko cha uzazi ama mashine ya photocopy 😜😜

Nilieka face unlock kwa simu alafu kujaribu na sura ya ngombe shags ikaitikia. Ebunidoscribe😂😂😁