Sub Categories

Tangu nipikie wageni chai kwa sufuria ya omena , madhee hajawai kubali niingie jikoni

Loading views...



Et ooo babe nkupenda pekeako ukome mi sijafundishwa ivo kwenye maish kumpenda mtu 1 sina tabia izo za jini😂😂😂

Loading views...

Aki wallahi lazima 2021 time watu wacheck before tuingie sisi ,Ile dissapointment nimepata 2020 siwezi dhubutu kuingia nayo 2021😏😏😏

Loading views...


Wale mlikuwa mnasema 2020 is your financial year ebu mkujie mwaka yenu na sitafadhali 🤣🤣

Loading views...

To my future kids,Mimi Niko tayari kuwaleta duniani lakini baba yenu anangangania warembo uko inje 🤣🤣
Msinilaumu nikiwaambia tulivaa vikapu Kama ngombe mwaka mzima😭

Loading views...


Ile day utaenda chemist 💊kubuy Mara moja upate nni mzungu cjui utamwambia aje🚮😭😭

Loading views...


Ile day utaenda chemist 💊kubuy Mara moja upate nni mzungu cjui utamwambia aje🚮😭😭

Loading views...


Mnakumbuka lucky dube akiimba there will be no schools anymore only prison prison mkadhani ni bangi

Loading views...


To our sisters leo want to ask you this question hivi…..

“what would you do if you start arguing with your man and he starts crying”

Sisi tuko hapa to see the comments and kuchangia where we have too

Loading views...

Back in high school, I was very poor in maths during exams nilikua napata Kati ya 4% na 10%🙈. The results used to be announced from the lowest maarks to the highest marks,, so nilikua wa kwanza ama wa pili kuitwa😑 alafu napokea viboko kadhaa 😏.
So one day the maths results were announced and my name wasn’t among the first to be called 🤜🤛…so mwalimu anaendelea 30%, 40%, 50%, 60%, 70% bado jina langu halikuitwa, kila mtu kwa class akaniangalia👀,, wanauliza “umepitaje huu mtihani?”😝,nikasmile nikasema ” Ni mungu tu” by the time alifika 80% I was already grinning in excitement. Wakati alifika 90% alikuwa amebaki na paper moja tu 😁🙌,, saa mungu amejibu maombi na ndoto yangu ya kupita maths imetimia🙏,, class mzima walishangaa na kuniangalia 👀,, finally mwalimu akaangalia juu na kusema.

“One idiot did not write his name and he scored 0%”. l just fainted 😂😂

Loading views...


Ukiona dem wako amekuja Kwako alaf sm yake kaweka flight mode

Ujue uyo mwanamke Anakupenda Sana ataki Usumbufu Anapokuwa Na wew

Loading views...

Corona ilifanya poa ku kam 2020.
Ingekam kitu 2006..
Tungekaa tu indoors na nokia 1110..tukicheza game ya manyoka..hakuna selfles ata

Loading views...

To our sisters leo want to ask you this question hivi…..

“what would you do if you start arguing with your man and he starts crying”

Sisi tuko hapa to see the comments and kuchangia where we have too😂😂😂

Loading views...