Some ladies will be there like..”I have inner beauty” my sister, kwani wewe ni muturaβΉ
Sub Categories
MIMI KAMA SIMU YAKO
Nataka uniheshimu.Sipendi ukiniweka kila saa kwa vibrate mode,alafu usiniweke kwa mfuko wako wa nyuma…ukinyamba wataka nifeel aje? Alafu ukiamka asubuhi plz brush mdomo kabla unitumie…wewe huwaga unanuka mdomo ni vile sitaki kukuambia! Then kuna ile siku uliniweka credit bamba 5 hio siku uliniudhi! Huoni ni aibu hio lakini nikanyamaza tu..Saa zingine we huenda na mimi chooni! Hio ni heshima kweli?
Dame : konda hii belt haiingii
Konda : paka mate iteleze π€£π€£π€£
*Kuna cousin yangu amepata 50 out of 500. KCPE. Tunangojea alale tuhame.* Sa hii tuko maombi kwao.
Huyu amaweka family kwa kizungumkuti.
Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi
Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!
Panya 2 Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwa
kwa mtego mara 5 nasijawahi dakwa
RAT 3 Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimba niliyo nayo ni ya paka !!!
.
.Panya WA 1 na 2 wakazimiaπππππ
Panya wa 3 huwa hapendi ujinga kabisa
*After KCPE Results*
*Dad:* howβs the results
*Son:* INEOS daddy
*Dad:* whats that ??
*Son:* 159
*Dad:* whaaat??
*Son:* Kipchoge
*Dad:* You mean?
*Son:* No human is limited.
Mimi natoka Murang’a….mwalimu wetu aliniuliza, wazimu ,how do you call mosquitoes in ur language? Nikasema we dont call them, they come by themselves..akaniambia sitaenda mbali na sahii nko naivasha…….. Nataka nifike eldoret nimpigie simu nimwambie niko mbali sana π
Imagine tufike mbinguni halafu tupate kukula cuzo haikua Dhabi!!
KARUMAINDO BAR NOTCE in Nyeri.
1. Ukifanya ornder, unaturia, usichide umekubucha kubucha waiter, yeye ni mutu msima anakubuka.
2. Ukirewo urewe peke yako, usianse kuiba nyibo sa Kigooco huku. Ukitaka kuiba eda clusade.
3. Huku hakuna dancing froor. Kwa hifo usika dance huku, hii ni bar, sio carnivorous(Carnivore)
4. Urinal siko. Kukonjoa ni sawa. Ukitaka hanja kumbwa, marisa fobe yako uede ukakumie kwako. Huku hakuna shoo. Tunauzaga fobe si Ugari.
5. Kufugia waiter jisho uwashe. Unamfugia jisho kwani umeskia ni daktali wa masho.
6. Ukinunuria waiter fobe, sio kumaanicha ati utaeda na yeye kwako. Ako hapa kuusa fobe, sio kuusa mwiri, mununurie na uthie ukiumaga
7. Usikamwaga mwage fobe kwa mesa,, tumekataa! Urinunua ukunywe ama umwage, tumia kogocity!
8. Huku hakuna Maraya. Ukitaka maraya kunja na wako, na akuwe maraya anaereweka tafathari sio chula inakaa mutura bishi
9. Wakati Mike Lua ama Salim Junia anaiba, tafathari uskakaibaniche na yeye. NYAMASA tulii,, watu warikunja kusikisa Lua, sio wewe. Ukitaka kuiba, tuabie tukutafutie Saturnday yako.
10. Kuchika chika waiter matako ni hatia! Chika matako yako, huku si bedloom.
11. Maneno ya CORND na JUBIREE perekeni Fesbuk. Sio hapa!!!Laila sio Waiter hapa
12. Kuwekewo mchere kwa fobe si kitu kumbwa, ukiwekew, unaitoa na unaederea na Fobe yako kama kawaida.wegine wamechawai wekewo mahidi na wanasurfife tu
13. HAKUNA kurara kwa Mesa! Mesa sio kitada. Kama umerewo, eda ukarare kwako.
14. Ukiibiwo pesa eda ukastaki kwa borithi, usikakunje kusubua Manager.
15. Tip ni rasma! Kama besa yako haitochi ya tip, rasima birr irete chinda ama ununue fobe take away ukakunywie kwako.
16. Huku hakuna bouncer! Rakini ukireta nyokonyoko tutakunyorocha kama Mukola.
17. Usikatapike huku. Hii ni Bar, sio Crinic ya watoto. Unatapika kwani uko na Miba??chidwo!!
By MANANGEMEN
*Girl;* babe leo hakuna magari nalala kwa beshte yangu nikam keshoπ
*boy;* poa hun, hata monica beshte yako ako hapa akuna gari anadoz akungoje ukam keshoπ€
*Girl;* π³bby kuna gari nimeona hapa ya takataka acha nione ka itanibeba
πππ π πππ€£π€£π€£π€£ππ½ππ½ππ½ππ½
My future wife si uje ama nifungue butchery na hizi ngombe za dowry
Imagine umelala afternoon bcoz the previous night ulikuwa kesha. mara unasika knock kwa mlango, ukienda kufungua unagongwa kidole ya mwisho ya mguu na kitanda, kuturn kidogo unaangukia ndoo za maji yanamwangika, unatereza kwa hayo maji unaangukia tv, na wire ya stima inakupinga shock kwa mgongo. unasimama na uchovu, maumivu, hasira na hasara. kufika kwa mlango kufungua unapatana na jamaa kwa mlango anasema, ” Habari yako? naregister lines za Orange!” utafanya? ππ
Panya watatu walikua wakibishana nani Ni noma zaidi
Panya 1: jamani mimi ni noma Wiki hii nimekula rat rat(sumu ya panya) mara tatu na sijadedi !!!
Panya 2 Wewe unasema nini, mimi nimekula nyama ikiwa
kwa mtego mara 5 nasijawahi dakwa
RAT 3 Mmemaliza? Mie hata sijui mnabishana nini? Mimi hii mimba niliyo nayo ni ya paka !!!
.
.Panya WA 1 na 2 wakazimiaπππππ
Panya wa 3 huwa hapendi ujinga kabisa
ππππππ
Kuna mtu huku ndani hananga kazi.. Yeye hushinda kuitisha pics za watu then ako zile za… Wow, nice, cute, sexy. . π
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!
πππππππππ
Unakumbuka pale nursery ukibeba book moja na one bob kwa pocket,,history repeats itself ππππcampus life