Sub Categories

Kuna dem aliniita home kwake akasema anataka nyama kwa nyama. Nikamwambia cna doo labda ugali kwa mayai. Bado ajatext back ni kama akona alargy ya mayai. Ebu nipe advice

Loading views...



I hope my book of life ingeandikwa na kalamu ya mate kuna ka place nafaa kuvuta

Loading views...

Wale mnaopima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu waga mnataka nini????

Loading views...


Lakini sikumuacha kwa ubaya ata wewe unaeza date dem anaita njaa maunenge 😂😂

Loading views...


Unaninyamazia unafikiria ntakumiss unashtuka nilikusahau 😂😂😂💔💔

Loading views...


Unalia nkikataa kupic call yako na umepiga mara moja tu,
ni mara ngapi yesu amekuita na ukakataa.?

Loading views...

Hanna kitu kibay kam kusengenyana na mamb mazuri ni kama urafiki

Loading views...

Ukila raha andaa tumbo la kula shida
Ipo siku swala atamla simba

Loading views...


penda anae kupenda asiye kupenda achana nae

Loading views...


Kuishi nyumbani na mwanaume asiyekuwa na pesa ni sawa na kuishi na feniture ndani ya nyumba

Loading views...

Kupenda usipende sanaaaa chukulia umempenda sana mwanamke halafu anakuwekea limbwata unafikiri utakuwa kwenye hali gani

Loading views...


Do not let any one to know. Am telling u a big secret.
It is only between us okay. Ati nimeskia kama Kenya iko Africa ??ni kweli ama??🤣🤣🤣🤣

Loading views...

Him: hae
Her:moglobin
Him: wacha hizo ww
Her:zipi….unasemaje
Him:unaitwa?
Her:mzimu…uko nalaziada
Him:Thai…Dina
😂😂😂😅

Loading views...