Sub Categories

Msichana mmoja alimpeleka mchumba wake kwao kumtambulisha kwa wazazi wake.

Alipofika tu baba yake akagundua dosari maana mvulana alikuwa mweusi tii ana matege makali na makengeza ya maana!!

Jamaa alipo ona sura ya baba mkwe wake imebadilika ikabidi atabasamu kiasi.
Lahaula! Alikuwa na mapengo hana meno yote ya mbele!

Baba akaamua amuite binti yake:

Baba:”Mwanangu hebu twende nje tuongee.”

Binti:”Baba sema hapahapa tu mchumba wangu ni kiziwi.”
.
.
Baba mtu akazimia!!



Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!