Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!
Related Posts
Zamani wasichana walipika kama mama zao lakini saivi wanakunywa kama baba zao
Unapata Dem amebeba food take away ujue amechukua ugali tatu ya 30bob na mboga ya 10bob🤣🤣🤣
Ati wakaba wana peda maji adi wakiabiwa i love you wanasema water suprise
Si kampuni ya makeup i strike ndo tujue Wanaume niwangapi hii Kenya
Lakini si mtu akibuy laini ya Airtel anafaa kupewa na jacket ya kuprevent baridi wakati anatafuta network
chuki haiwezi kutoka chuki. Ni upendo pekee wenye uwezo huo