Unakumbuka ukianza insha na….
Katika Kijiji kimoja paliondokea mtu mmoja masikini hoehae…
Ona sahii we ndio huyo masikini😂😂😂
*What goes around comes around😏
Related Posts
chuki haiwezi kutoka chuki. Ni upendo pekee wenye uwezo huo
Zamani wasichana walipika kama mama zao lakini saivi wanakunywa kama baba zao
Maisha ni siri Nan wakuifichua??? 🤔🤔🤔🤔
asiye funzwa na mamaye babake ni mwalimu
Kwako Kuna bed switch ama unazimanga stima then unatembea hadi kwa bed Kama kipofu
Ile day utaenda chemist 💊kubuy Mara moja upate nni mzungu cjui utamwambia aje🚮😭😭
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini. Wakati basi linatembea waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed Continue Reading..
Hakuna kitu mbaya kama x wako kuku pata una tembea na Slipper’s moja ime katika umebeba mkononi