Her:Beb ulisema utanipeleka tour? Joker smoker: Apana nilisema Twa Twa
Ata ukiskia hawa watoto wa shule wamewekwa mimba sijui ngapi ,hii kitu Kuna mahali inafikanga inakosa break
Ushahi argue na mutu alafu anakushow Sasa unataka kulia Walai hio kitu hainaga cameback
I hope my book of life ingeandikwa na kalamu ya mate kuna ka place nafaa kuvuta
Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register
Kua smart bro kupeleka dame si wako out then unamdrop kwao ni Kama kuweka token kwa meter ya lodging bro
Wasee wasee kwenyu nyinyi n wengi hadi mumepewa title
Relationship stress ekago dira o nyake seat belt ko toilet seat
Niliambia caro nataka mtoto akanijibu uterus haiendi mahali nitafute pesa kwanza
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *