Mzee alikuwa anaomba Mungu kwa bedroom
na kiingereza “Thank you for Mercy, Thank you
for Joy, Thank you for Grace, I now have
Faith……”
Wife akaingia bedroom kwa fujo na kukatisha
maombi…… “Heh! Nilijua tu huwezi tosheka
na mimi…. Nini umekosa kwangu ndio uende
kwa Mercy, Joy, Grace na Faith???
Mzee akajaribu kumweleza but wife was so
infuriated hakuwa anataka kumwelewa. Wife
akakimbia kitchen akachukua ile kisu kali
kabisa, akangoja mzee alale aanze
kung’orota. Akawekelea maji kwa gas
ikachemka thero-thero-thero. Akachungulia
akaona mzee ako in deep sleep
Akaenda, akachukua kuku walikuwa nayo,
akaichinja na wakati iliiva, akaita bwanake
wakakula pamoja wakaenda pekejeng


Related Posts

Leave a Reply

Your email address will not be published. Required fields are marked *