Lakini sikumuacha kwa ubaya ata wewe unaeza date dem anaita njaa maunenge 😂😂
Unapoondoka duka bila kununua chochote na unajiambia “tenda kawaida, huna hatia”
Umezoea Kukula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
*Girl;* babe leo hakuna magari nalala kwa beshte yangu nikam kesho🙂 *boy;* poa hun, hata monica beshte yako ako hapa Continue Reading..
Kwako Kuna bed switch ama unazimanga stima then unatembea hadi kwa bed Kama kipofu
Unakumbuka ukianza insha na…. Katika Kijiji kimoja paliondokea mtu mmoja masikini hoehae… Ona sahii we ndio huyo masikini😂😂😂 *What goes Continue Reading..
Ile time dryspell zimeku zidy afu mnakuaga na mboch mokorino 😂😂😂😂😂😂😂😂