Nilidhani usafi ni taulo kumbe sivyo hivyo
Akuna kitu tamu kama kupendwa na wazazi wako
Mungu yu mwema kwangu sijui kwako
naangalia maisha yangu siangalii mtu but nawapenda wote
Maisha ni mlima kupanda na kushuka
Furaha usoni, maumivu noyoni.
Maisha ni safari ndefu mnoo Ainaga kipimo ata siku moja Tunachopaswa kufanya ni Kutokukata tamaa ktk kila jambo.
maisha ni safari ndefu yana panda na kushuka binaadamu tuwe makini
Ucnione mdogo ukaniramba kisongo mtakubwagia zongo ukushinde muhogo
Sikupeda kwangu kukosa kuongea na nyinyi 2017 no kukamatwaa na uchumi
Sijanyamaza kwa ubaya no uchumi 2017
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *
Sikupeda kwangu kukosa kuongea na nyinyi 2017 no kukamatwaa na uchumi
Sijanyamaza kwa ubaya no uchumi 2017