Sometimes I really wonder, tulikiwa tunasoma kunyume ya nini ?
Umeme hauna kiuno lakini unaongoza kwa kukatika
Unapoondoka duka bila kununua chochote na unajiambia “tenda kawaida, huna hatia”
Mtu mmoja amekimbia paka sikio lake ameguza chini
nimekumbuka mitochondrion nikasahau pin ya mpesa😲🤣😋😋😋🤔😁
chuki haiwezi kutoka chuki. Ni upendo pekee wenye uwezo huo
Unataka nizae mtoto afanane na ww baba ake kwan mm nna kifuko cha uzazi ama mashine ya photocopy 😜😜
Usisoee kunya peupe manyasini,utakuja donua na kuku akidhani wamutupia nyama na sima ya wimbi.
penda anae kupenda asiye kupenda achana nae
Your email address will not be published. Required fields are marked *
Comment *
Name *
Email *