Kama huna pesa punguza kitambi we are tired of respecting wrong people
Related Posts
Kama anaringa sana usishinde ukijisumbua tuone kama atajikula😜😛😛😜
Her: Yoyaah Arfoza Meh: Yoyaah Her: Manjet Meh: Man ni mtu na jet ni ndege One word for Arfoza
Mato niki refu kuliko mutura ya soko mjinga itabidi apuguzwe na rungu ya masaai
Dame:beb Plic nbuyie redo ya mbao. Boy:tumiaga hiyo ya chuma kabla walete ya mbao,
Unaniita na nambari binafsi na nitazamia mimi kuzungumza kwanza? Nadhani tutaweza kupumzika mpaka utakapoendelea
Sio sigara tu hata ukiwa na mwanamke msumbufu ni hatari kwa afya yako
Sijai sikia mganga anatibu nguvu za kike kwani wanawake wote mko sawa
Dame:Babe nko na ball Boyie:leta tucheze futa atleast tufanye maexercise Dame:si ivo😊nko nimebemba Boyie:Nini tena?… Umechoka nikusaidaie… Dame:Nkt😅acha kujifanya huelewi Continue Reading..
