Kwako Kuna bed switch ama unazimanga stima then unatembea hadi kwa bed Kama kipofu
Related Posts
Wale mnaopima UKIMWI kila baada ya miezi mitatu waga mnataka nini????
Katika maisha yako kuna kupuliza iwake na kupuliza ipoe… Lkn wengi wetu wanapokuwa wakipuliza ipoe wanajikuta wameiwasha….
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini. Wakati basi linatembea waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed Continue Reading..
Ushahi argue na mutu alafu anakushow Sasa unataka kulia Walai hio kitu hainaga cameback
I hope my book of life ingeandikwa na kalamu ya mate kuna ka place nafaa kuvuta
Aahahaha ujinga n kubuy kiberitti tano n kujaribu k zote zina waka
Kumbe Tumbo ndo inanyamba Matako ni Speaker tu
Kama nilikuudhi mwaka huu , kumbuka mwakani ni palepale sikufugi