Kwako Kuna bed switch ama unazimanga stima then unatembea hadi kwa bed Kama kipofu
Related Posts
Kuna dem ameniuliza WHERE DID WE FIRST MEET?? Sijui nimkumbushe ile day chali yake aliniomba keja juu mm nilikuwa yule Continue Reading..
Dame:Babe nko na ball Boyie:leta tucheze futa atleast tufanye maexercise Dame:si ivo😊nko nimebemba Boyie:Nini tena?… Umechoka nikusaidaie… Dame:Nkt😅acha kujifanya huelewi Continue Reading..
Kwa nini ulikubali myanyako aolewe na babu yako .naunajua wote ni wazee.umestakia kuruhusu hawa watu wawili hapa kituo cha.jongo love. Continue Reading..
Unaninyamazia unafikiria ntakumiss unashtuka nilikusahau 😂😂😂💔💔
Ww sherekea kukaa nyumbani na next yr uko form 4 seoson 2 🤣🤣🤣🤣
Madem wengi kasi ya n ya kufilter picha wapost kwa status na hawakumbuki lika yao inaelekeakumalisha ulezi
Et ooo babe nkupenda pekeako ukome mi sijafundishwa ivo kwenye maish kumpenda mtu 1 sina tabia izo za jini😂😂😂
Kumbe Tumbo ndo inanyamba Matako ni Speaker tu 😂😂