Babangu ameniita akaniuliza mjulus ni nini nikamwambia ni kijana, Sasa anashinda akiniita mjulus yangu
Related Posts
Yesu angejua vile wezi wanafanyiwa mtaanj agedhubutu kuja kama mwizi
USIPENDE NINACHOPENDA KWA MAANA SIKU NIKIWA NACHO UTATAMAN CHAKWANGU NAWEW UKIWA NACHO NITATAMAN CHAKO
Kuna mtu huku ndani hananga kazi.. Yeye hushinda kuitisha pics za watu then ako zile za… Wow, nice, cute, sexy. Continue Reading..
Jee ushawai panda ndege ama unangoja siku ya kwenda mbinguni????
Ma sister, imagine walking in heaven and all the kids you aborted be like: “Jesu nangu lo”
Aahahaha ujinga n kubuy kiberitti tano n kujaribu k zote zina waka
Kuishi nyumbani na mwanaume asiyekuwa na pesa ni sawa na kuishi na feniture ndani ya nyumba
List of names to avoid this festive season Ukiskia umeitwa ivi usiitike na usijaribu kusmile, ni mtegoo 1. Mkubwa 2. Continue Reading..
