Kua smart bro kupeleka dame si wako out then unamdrop kwao ni Kama kuweka token kwa meter ya lodging bro
Related Posts
Corona ilifanya poa ku kam 2020. Ingekam kitu 2006.. Tungekaa tu indoors na nokia 1110..tukicheza game ya manyoka..hakuna selfles ata
Eti ukiambia dem mkamba anadai umletee surprise gani anakushw umletee maji
Hii upuzi ya unauliza dame 😂 hasubui kama ame amka anakuambia oliskia wapi kwanini why🥴
Umezoea Kukula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Juz kadem nilikatext kakaniuliza nimepata wapi no yake nikakaambia nimepew offer ya namba yake na safcom
Niliambia caro nataka mtoto akanijibu uterus haiendi mahali nitafute pesa kwanza
Jee ushawai panda ndege ama unangoja siku ya kwenda mbinguni????
Mnakumbuka lucky dube akiimba there will be no schools anymore only prison prison mkadhani ni bangi
