Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!
Related Posts
Hanna kitu kibay kam kusengenyana na mamb mazuri ni kama urafiki
Niliambia caro nataka mtoto akanijibu uterus haiendi mahali nitafute pesa kwanza
Kama anaringa sana usishinde ukijisumbua tuone kama atajikula😜😛😛😜
Uko njiani pekee yako usiku Mara unaona mtu mbele unaharakisha mwendane na yeye mnafika sehemu inayotisha Mara unasikia akisema….”mahali hapa Continue Reading..