Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!
😂😂😂😂😂😂😂😂😂
Related Posts
Kati ya hizi mbili ni gani ya aibu: 1.Kupatwa Ukijipima viatu za mgeni. 2.mgeni akipatwa akiongezea maji ya ugali. 😂😂
Zamani wasichana walipika kama mama zao lakini saivi wanakunywa kama baba zao
Unalia nkikataa kupic call yako na umepiga mara moja tu, ni mara ngapi yesu amekuita na ukakataa.?
Mapenzi. Xi naguvu ni wamusi wako na mimi pamoja. Na roho yako
Pain ya go nyesa ke mjolo kwa yeno o na le gate ya maotwana
Dame : konda hii belt haiingii Konda : paka mate iteleze 🤣🤣🤣