Kupenda asiye kupenda ni sawa na kungoja meli Kwa uwanja wa ndege
Kopo la chooni ni la chooni tu,hata liwe jipya haliekwi kabatini.
Unapoondoka duka bila kununua chochote na unajiambia “tenda kawaida, huna hatia”
Msichana mmoja alimpeleka mchumba wake kwao kumtambulisha kwa wazazi wake. Alipofika tu baba yake akagundua dosari maana mvulana alikuwa mweusi Continue Reading..
Ety demu kwakwmbia uwende kwao kwakuwa mama yake ayupo, kumbe nao ni ushezi