Tumbili zikiwa tatu bado ni tumbili au ni tutatu ?
Hii kitu inanikula kichwa sana
Related Posts
Jifunze kuitambua dhahabu hata Kama ipo kwenye tope
USIPENDE NINACHOPENDA KWA MAANA SIKU NIKIWA NACHO UTATAMAN CHAKWANGU NAWEW UKIWA NACHO NITATAMAN CHAKO
chuki haiwezi kutoka chuki. Ni upendo pekee wenye uwezo huo
Jee ushawai panda ndege ama unangoja siku ya kwenda mbinguni????
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini. Wakati basi linatembea waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed Continue Reading..
Wakikuyu ni wasafi hati wawesi chafuwa meza kwa clap
Ushawahi gongewa mlango kwa nguvu ukinyanduana na bae alafu kuenda kufungua unapata ni ule jirani mtiaji amekuja kukuomba chumvi
Madem wa siku izi wamekuwa kaa karao.mnakutana tao then next week uko ndani🤣😂🤣if you know you know