Kuna mtu huku ndani hananga kazi.. Yeye hushinda kuitisha pics za watu then ako zile za… Wow, nice, cute, sexy. . 😂
Related Posts
chuki haiwezi kutoka chuki. Ni upendo pekee wenye uwezo huo
Dame:beb Plic nbuyie redo ya mbao. Boy:tumiaga hiyo ya chuma kabla walete ya mbao,
Hakuna kitu mbaya kama x wako kuku pata una tembea na Slipper’s moja ime katika umebeba mkononi
Tajiri Au Masikini Wote Tuna Masaa 24⏲️Kila Siku.. Chagua Vizuri Jinsi Ya Kutumia Muda Wako…✍🏼
Dame : konda hii belt haiingii Konda : paka mate iteleze 🤣🤣🤣
Tangu nipikie wageni chai kwa sufuria ya omena , madhee hajawai kubali niingie jikoni
Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini. Wakati basi linatembea waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed Continue Reading..
Si kampuni ya makeup i strike ndo tujue Wanaume niwangapi hii Kenya
