Wendawazimu walipanda basi la ghorofa wengine juu na wengine chini.
Wakati basi linatembea
waliopanda chini wanawauliza wa juu, huko speed ngapi? maana huku speed 80.wajuu wakajibu huku mpaka sasa hatujui mana hata dreva bado hajaja!
Related Posts
Wale mlikuwa mnasema 2020 is your financial year ebu mkujie mwaka yenu na sitafadhali
Ushai chunwa kinyambio na mgenge
Kati ya hizi mbili ni gani ya aibu: 1.Kupatwa Ukijipima viatu za mgeni. 2.mgeni akipatwa akiongezea maji ya ugali.
Zamani watu wenye pesa nyingi ndo walikuwa wanatafuta wanawake wazuri, but now days wanawake ndo wanatafuta watu wenye pesa… Maisha Continue Reading..
Ata ukiskia hawa watoto wa shule wamewekwa mimba sijui ngapi ,hii kitu Kuna mahali inafikanga inakosa break
Mtu mmoja amekimbia paka sikio lake ameguza chini
Juz kadem nilikatext kakaniuliza nimepata wapi no yake nikakaambia nimepew offer ya namba yake na safcom
Sio Siri ni serious majini haya tuwezi mageniaus.. and remember to observe believe can help you to do anything you Continue Reading..