Eti nikifa nikazikwe singida👌👌 uliacha nauli kwani😆😂🤣🤣😂😂🤣🤣
Unapata Dem amebeba food take away ujue amechukua ugali tatu ya 30bob na mboga ya 10bob🤣🤣🤣
Ati wakaba wana peda maji adi wakiabiwa i love you wanasema water suprise
Opening of schools before bars shows government respects children more than the elderly🙉 wakati wa kura watafute hao watoto wawapigie🤪 Continue Reading..
*Siyo Lazima Mpenzi wako Akija Mfanye Mapenzi…Kamtembeze Ata Makaburini Umwonyeshe Utakapo Mzika Siku Atacheza Na Hisia Zako
Ile day utaenda chemist 💊kubuy Mara moja upate nni mzungu cjui utamwambia aje🚮😭😭
Tangu nianze kula miraa 2017 hadi wa leo sijawahi lala,, inasemekana uwa nakula kama nmelala.