Today a preacher in a public bus started preaching… “Leo nataka kuwasomea barua ya Paulo kwa Warumi”
A drunk man at the back asked him… “Kwa nini utusomee na sisi sio Warumi… Na kwanza nani amekwambia ufungue barua ya wenyewe???”
Related Posts
Mnakumbuka lucky dube akiimba there will be no schools anymore only prison prison mkadhani ni bangi
Eti ukiambia dem mkamba anadai umletee surprise gani anakushw umletee maji
Jee ushawai panda ndege ama unangoja siku ya kwenda mbinguni????
Ile time ume nyandua fame na ngori ya kidogii afu utabike after a few minutes unaskiaga fame aki shuta na Continue Reading..
Ati nyinyi ni wengi hadi mama anapiga chapo moja alafu zingine zinawekwa photocopy
Wakati wowote mkia hautikisi ngo, mbe,ng,ombe ndo hutikisa mkia
Huku afrika ukitaka breakfast in bed,pls kalale jikoni🙃🙃 by Carlos ochieng agunda
Uko njiani pekee yako usiku Mara unaona mtu mbele unaharakisha mwendane na yeye mnafika sehemu inayotisha Mara unasikia akisema….”mahali hapa Continue Reading..