Si kampuni ya makeup i strike ndo tujue Wanaume niwangapi hii Kenya
Related Posts
Kati ya hizi mbili ni gani ya aibu: 1.Kupatwa Ukijipima viatu za mgeni. 2.mgeni akipatwa akiongezea maji ya ugali. 😂😂
Sijai sikia mganga anatibu nguvu za kike kwani wanawake wote mko sawa
Kama anaringa sana usishinde ukijisumbua tuone kama atajikula😜😛😛😜
Kombowa wakati usilale hamka usilemahe Ufalume wa mbinguni hupatikana kwabiddi sana usihishi bila kukosa lengo mahishani mwako
Ukimkuta dada amevaa miwani anakuwa na dharau sana anasahau kuwa kilichomfanya avae iyo miwani ni ugonjwa 😀😀😀🏃♂️🏃♂️🏃♂️
Maisha ni siri Nan wakuifichua??? 🤔🤔🤔🤔
Huku afrika ukitaka breakfast in bed,pls kalale jikoni🙃🙃 by Carlos ochieng agunda
Hata uwe msafi vipi ukitaka kujamba huwezi vua nguo
