Kupenda asiye kupenda ni sawa na kungoja meli Kwa uwanja wa ndege
Related Posts
Unakumbuka pale nursery ukibeba book moja na one bob kwa pocket,,history repeats itself 😂😂😂😂campus life
Cjai ona ugonjwa mbaya kma ujinga aina tiba Tina ni kibao
Unaringa unadhani nitakuwaza……unashtukia nishakusahau
Mapenzi yanaweza kukupa stress hadi mama ako akikuuliza what is wrong. …… unaeza mjibu Mama we bado mdogo huezi elewa
Mapenzi. Xi naguvu ni wamusi wako na mimi pamoja. Na roho yako
Ety demu kwakwmbia uwende kwao kwakuwa mama yake ayupo, kumbe nao ni ushezi
Umezoea Kukula mogoka hadi unaogopa kumeza mboga
Unataka kucheza n ingali umesimama Aaaaah inama inama