Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia
Related Posts
Wasee wasee kwenu watu ni wengi hadi ikifika saa ya chakula unaitwa na Register
Lakini si mtu akibuy laini ya Airtel anafaa kupewa na jacket ya kuprevent baridi wakati anatafuta network
Kuishi nyumbani na mwanaume asiyekuwa na pesa ni sawa na kuishi na feniture ndani ya nyumba
Wakati wowote mkia hautikisi ngo, mbe,ng,ombe ndo hutikisa mkia
asiye funzwa na mamaye babake ni mwalimu
Ata uwe na haraka kiac gani lazima matako uyaache nyuma
Huku afrika ukitaka breakfast in bed,pls kalale jikoni🙃🙃 by Carlos ochieng agunda
Kumbe Tumbo ndo inanyamba Matako ni Speaker tu 😂😂
