Pesa kidogo tu ukiongea unasema I mean si useme tu unamaanisha tutakuelewa mabaharia
Related Posts
em wangu aliniambia ka ninataka Mapenzi nitumia number Bluutooth
Ata uwe na haraka kiac gani lazima matako uyaache nyuma
Na venye mm n bachelor 🤔nikifa xai life history ang c itakuwa fupi;” Marehemu alizaliwa akazurura akafa”😂😂
Tajiri Au Masikini Wote Tuna Masaa 24⏲️Kila Siku.. Chagua Vizuri Jinsi Ya Kutumia Muda Wako…✍🏼
Mato niki refu kuliko mutura ya soko mjinga itabidi apuguzwe na rungu ya masaai
Wasee wasee kwenyu nyinyi n wengi hadi mumepewa title
My future wife si uje ama nifungue butchery na hizi ngombe za dowry
I hope my book of life ingeandikwa na kalamu ya mate kuna ka place nafaa kuvuta
