Unataka nizae mtoto afanane na ww baba ake kwan mm nna kifuko cha uzazi ama mashine ya photocopy 😜😜
Related Posts
Hii Nairobi kama hujaact setbooks Haujajaribu online jobs za global alliance (kwanza hii)😂 Haujaenda mjengo😌 Haujafanya promotion ya nodules ama Continue Reading..
Unaringa unadhani nitakuwaza……unashtukia nishakusahau
Wale mlikuwa mnasema 2020 is your financial year ebu mkujie mwaka yenu na sitafadhali 🤣🤣
Unalia nkikataa kupic call yako na umepiga mara moja tu, ni mara ngapi yesu amekuita na ukakataa.?
Hakuna kitu mbaya kama x wako kuku pata una tembea na Slipper’s moja ime katika umebeba mkononi
Yesu angejua vile wezi wanafanyiwa mtaanj agedhubutu kuja kama mwizi
Nimepoteza uoni kwani sion tena kitu kwenye wallet
Hii upuzi ya unauliza dame 😂 hasubui kama ame amka anakuambia oliskia wapi kwanini why🥴
